Kuhusu mimi:
-Mimi ni mrefu kiasi.
-Mweupe kiasi
-Mwembamba kiasi
-Navaa miwani nina shida ya macho.
-Napenda kuvaa Sketi, Gauni, Suruali na vitop
Mji ninaoishi:
IRINGA
Vipindi vya TV:
-5serekt
-Tamthilia
Mwanamuziki nimpendaye:
Jay zee na Rihanna
Michezo niipendayo:
-Kuogelea
-kukimbia
-kuruka kamba
Zawadi niipendayo:
Kadi na Midori
Sehemu niipendayo:
-Garden
-Bich
-Nyumbani