description: Ili kujiunga na iRafiki, fuata maelekezo hapa chini:
- Bofya Jiandikishe
-
- Jaza fomu iliyowekwa
- Jaza jina litakalo oneshwa - Hili ni jina litakalo onekana na watumiaji wengine
- Anuani pepe - jaza anuani pepe yako (email)
- Jina la mtumiaji (username) - jina hili utalitumia wakati wa kuingia
- Weka nywila (password) - Hii ni nywila utakayokuwa unatumia kuingia
- Nywila tena - Rudia nywila uliyojaza hapo juu
- Ukimaliza kujaza fomu, bofya kitufe kilicho andikwa Jiandikishe
- Fungua barua pepe yako, utakuta kuna ujumbe umetoka info@irafiki.com bofya kiungo cha kuhakiki anuani pepe yako, moja kwa moja utapelekwa kwenye mtandao jamii wa iRafiki. Hapo ingiza jina la mtumiaji na nywila yako ili kuanza kutumia mtandao